DIAMOND CHALII,ALI KIBA AMVUNJA VUNJA YOU TUBE

By:Nasri Bakari(0713 311 300)
Sony Music wameanza kuona matunda ya kumsainisha Alikiba ndani ya wiki moja tu.
Video ya wimbo mpya wa staa huyo, Aje, imefikisha views milioni 1 ndani ya siku saba tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube.
Hiyo
haijawahi kutokea kwa msanii yeyote wa Afrika aliyefikisha idadi hiyo
ya views ndani ya wiki moja akiwa chini ya label hiyo.
Ndio maana hawakusita kujivunia kwa hatua hiyo.
“In
1 week, @OfficialAliKiba’s music video for #AJE, has hit 1mil views!
Nice one, Africa! Keep going,” wameandika Sony kwenye Twitter.
No comments:
Post a Comment