UNATAKA PICHA ZA UTUPU ZA MASTAA?? HII NDIO BEI YAO

By:Nasri Bakari(0713 311 300)
Dunia
imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo
ambao wamekuwa vinara wa kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi
viwango vyao vya malipo endapo mtu atahitaji picha zao za utupu.
Miongoni
mwa wasanii hao ni muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy
Money’, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Isabela Mpanda
‘Bella’ ambao kila mmoja amekiri kuwa yupo tayari kupiga dili hilo ili
aweze kujiingizia ‘mkwanja’ mnono na kudai kwa sababu wao hawatoshiriki
ni picha tu hivyo hakuna ubaya.

GIGY
“Hee,
ninavyoijua pesa jina langu lenyewe linajieleza, sasa nawezaje kukataa
dili la hela ikiwa sidhuriki chochote maana kama ni picha zangu kila
kukicha natupia mtandaoni, mtu si anaweza kuchukua tu, lakini mpaka
kaniomba kaniheshimu itabidi anilipe kama shilingi milioni 50.”

DIVA
“Ni
kweli napiga picha zisizo na maadili kwa nchi yetu ambazo zinaweza
kumshawishi mtu kunipa dili la aina hiyo japo kwa kucheza sipo tayari,
ila picha akinipa shilingi milioni 200 nakubali anipige hizo picha.”

KIDOA
Kwa kuwa hiyo pesa nitakuwa sijaitolea jasho siwezi kuiacha, nikilipwa shilingi milioni 500 napiga hilo dili kwa moyo mkunjufu.”

ISABELA
“Kipindi
hiki pesa ilivyokuwa ngumu naanzaje kukataa, kwani ninavyoweka picha
zangu huko mtandaoni kuna mtu ananilipa na mbona nasemwa sana, bora
nikasemwa nikiwa nimefaidika tena kupitia picha yangu tu tatizo liko
wapi, nikipewa shilingi milioni 100 nakubali.”
NENO LA MHARIRI:
Ni
vyema wasanii hawa wakazingatia maadili ya Kitanzania kwa kuepuka
kupiga picha za utupu kwa namna yoyote. Watafute fedha kwa njia halali
kutokana na kazi zao. Waache kuiga mastaa wa nje kama vile Rihanna, Kim
Kardashian, Amber Rose na wengineo ambao wamekuwa wakilipwa pesa ndefu
kwa kupiga picha hizo ambazo zimekuwa zikitumika kwenye majarida na
mitandao mbalimbali.
No comments:
Post a Comment