Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Diamond Adai Alikuwa Muuza Mitumba ‘Nilikuwa Najipitisha Kwa Bob Junior na AliKiba ili Wanunue’

Diamond Adai Alikuwa Muuza Mitumba ‘Nilikuwa Najipitisha Kwa Bob Junior na AliKiba ili Wanunue’

| No comment
post-feature-image
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’ Diamond Platnumz amefunguka na kueleza jinsi alivyoweza kupambana na biash...
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’ Diamond Platnumz amefunguka na kueleza jinsi alivyoweza kupambana na biashara ndogo ndogo ya kuuza mitumba wakati anatafuta njia yakutoboa.

Muimbaji huyo amesema Bob Junior na Ali Kiba ni moja kati watu ambao alikuwa anapenda kuwaonyesha mara kwa mara biashara yake.

“Unajua mimi nilikuwa nakutana sana na Bob Junior pale kwao ilipokuwa ‘studio’ kwa sababu nilikuwa nauza nguo maeneo yao pale, sasa yeye alikuaga anapita na akina Ali pale nawaonyesha onyesha nguo najua hawa ma brazameni ili mimi nipige hela,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.

Kwa sasa Diamond ni mmoja kati ya msanii mwenye mafanikio makubwa katika muzuki nchini Tanzania.