Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

EXCLUSSIVE:WEMA SEPETU AHAMA DAR NA KUAMIA ARUSHA

Wema Sepetu
Na Nasri Bakari 0713 311 300

Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe.
Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia kwamba hatarudi tena Dar es salaam.

“My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu tumetoka mbali, huyu ndiye atakayenifanya nihamie Arusha kwakweli,” aliandika Wema katika picha hiyo

No comments:

Powered by Blogger.