Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

KASHFA:MENEJA WA DIAMOND ASEMA,MAVOKO ZILIPENDWA,HARMONIZE NA RAYMOND NDIO BRAND

Na Nasri Bakari 0713 311 300
Kumekuwa na maneno mengi ya watu wakidai kwamba timu ya WCB inawekeza sana kwa wasanii wake wawili Harmonize na Raymond kuliko kwa Rich Mavoko.

Alipoulizwa kuhusu suala hilo,mmoja wa mameneja wa Diamond,Sallam alisema kwamba wanatumoia nguvu kubwa kwa Harmonize na Raymond kwa sababu ni wasanii wapya kwenye game ukilinganisha na Rich Mavoko.
Rich mavoko ni wa siku nyingi watu washamuona tayari,na sisi tunajua thamani ya Rich Mavoko ndio maana yuko WCB,lakini Raymond na Harmonize ni wasanii wapya,ndio wamekuja.Lakini kama unavyoona project ya kwanza ya Rich Mavoko imetoka,nyingine inakuja hivi karibuni” alifunguka meneja huyo.

No comments:

Powered by Blogger.