Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Mapacha waliopewa asilimia 20 ya kuishi wakati wa upasuaji wao wakaribia kuanza shule

Mapacha waliopewa asilimia 20 ya kuishi wakati wa upasuaji wao wakaribia kuanza shule

| No comment_90964463_twins4pa
Kabla ya upasuaji huo wa mapacha hao ambao wanajulikana kwa jina la Rosie na Ruby walikuwa wakipewa asilimia 20 pekee za kubaki kwenye operesheni hiyo ambayo mwisho iliofanikiwa.
Mama mzazi wa watoto hao, Angela Formosa amesema ilikuwa ni kama miaka milioni kuwasubiri watoto wake hao kuweza kutoka kwenye chumba cha upasuaji.
_90964334_twins1pa Picha ya Rosie na Ruby kabla hawajafanyiwa upasuaji
“Miaka minne iliyopita akilini mwangu sikufikiria kitu kama hiki kingelitokea. Nilipokuwa mjamzito sikudhani nitaiona siku ya ya kwanza shuleni kwa hivyo inanifurahisha sana kwa hiyo nashukuru sana hospitari ya I Gosh [Great Ormond Street Hospital] kwa kweli.”
Formosa alijifungua watoto hao katika hospitali ya Uversity College of London kwa njia ya upasuaji mwaka 2012 huku ujauzito huo ukiwa na takribani wiki 34 na baada ya saa chache kuzaliwa walipelekwa katika hospitali ya Great Ormond Street kwa ajili ya upasuaji huo wa kuwatenganisha.
_90964336_twins2pa Picha ya Rosie na Ruby walipotimiza mwaka mmoja
Naye Profesa Paolo De Coppi ambaye ni mtaalamu wa upasuaji wa watoto katika hospitali ya Gosh, amesema kuwa ni furaha kwa watoto hao kusikia kuwa wanakaribia kuanza shule.
“Ni furaha wakati wote kushuhudia maendeleo ya wagonjwa na kusikia kwamba wamepiga hatua kimaisha – hii inafanya kazi tunayoifanya kuwa ya kuridhisha,” ameongeza.