Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

TEAM YA MATEI LOUNGE DODOMA YAGOMEA USHINDI YA TEAM YA MAISHA CLUB DODOMA BAADA YA KUCHEZESHA WACHEZAJI AMBAO SIO STAFF WA MAISHA

hii ilikuwa ni Mechi kali kati ya Staff wa Maisha Club Dodoma na Staff wa Matei Lounge Dodoma...Team ya Maisha Club iliibuka kidedea baada ya kuipachika Matei Lounge Dodoma Bao tatu kwa mbili.... Hata Hivyo uongozi wa Matei Lounge Haikukubali Ushindi huo kutokana na Team ya Maisha Club kuchezesha wachezaji ambao sio Staff wa Maisha, Hivyo basi wamegomea ushindi huo na mechi hii kurudiwa jumatatu ijayo ambapo itachezwa kwa Staff kwa Staff....!!
No comments:

Powered by Blogger.