Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

AKAUNTI YA INSTAGRAM YA BOSSNGASA YARUDI HEWANI BAADA YA KUDUDKULIWA

Boss Ngasa 

Baada ya wadukuzi wa mtandao(hacker) kuidukua akaunti ya Big Boss wa Bossngasa official Website maarufu kama Boss Ngasa, hatimaye wataalamu wa IT wamefanikiwa kuirejesha akaunti hiyo.

Akizungumza na mtandao huu Boss Ngasa amewapa pole wadau wake wote na kusistiza kwamba kuanzia leo wamfollow kwa wingi ili waendelee kupata habari za kina za burudani na udaku wa mjini.

"Wadau wangu popote mlipo Dodoma na Tanzania kwa ujumla poleni sasa kwa kukosa habari za kina za burudani na udaku sasa akaunti yangu ya instagram ipo hewani unaweza kunifollow @bossngasatz, ahsanteni," alisema Ngasa.

No comments:

Powered by Blogger.