Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Diamond kuwania tuzo 5 za Afrima 2016, Alikiba na Yamoto Band moja

Diamond kuwania tuzo 5 za Afrima 2016, Alikiba na Yamoto Band moja

| No comment


Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima.

Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa na Best Male Artist in Eastern Africa.

Alikiba ametajwa kuwania kipengele kimoja cha Best Male Artist in Eastern Africa huku kundi la Yamoto Band likitajwa kuwania kipengele cha Revelation of The Year.

Hata hivyo mwaka huu kuna upungufu mkubwa wa wasanii wa Tanzania kwenye tuzo hizo. Tuzo hizo zitatolewa November 6 jijini Lagos Nigeria.