Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / DIAMOND NA ALI KIBA NDANI YA BIFU ZITO

DIAMOND NA ALI KIBA NDANI YA BIFU ZITO

| No comment

International Meneja wa Diamond Platnumz  ‘Sallam Sk’ ameongea na Sammisago Kupitia ENews  kuhusu Ali Kiba kufanya show kama msanii wa kushtukiza kwenye jukwa moja na Diamond Platnumz.

Sallam anasema “Sisi hatukuambiwa kama Ali Kiba atakuwepo kwenye show kwa hio Ali Kiba alikuwa kwenye show kama Suprise, nashukuru muziki wetu wa Tanzania unazidi kukua, tulichofanya ni kitu mkataba wetu umesema tufanye , na tuliperform kwa saa mbili, hawakuandika Diamond is a Tanzanian artist, ila waliandika International Artist, kama alitangazwa Diamond pekee yake, akaje msanii mwingine pia hio ni sawa tu
Hii ni hatua nyingine inayothihirisha kuwa ladba hakuna beef kati yao na kwamba wote wanakubalika kama wasanii wa kimataifa…..