Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Fahamu Umuhimu wa Kumfanyia Mtoto MassageMtoto anapozaliwa kuna vitu vingi anatakiwa kufanyiwa ili apevuke vizuri na nimekutana na hili moja kati ya hayo ambalo nsingependa likupite mtu wangu, Kituo cha habari cha Kenya ‘Citizen’ kimeripoti kuwa ukandaji wa mtoto mdogo unamanufaa mengi ambayo yametajwa kama kumtuliza mtoto, kumsaidia kuimarisha viungo vyake na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.