Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

MAAJABU YA MAKE UP USICHAGUE MKE SIKU YA JUMAPILI

Mabaka mabaka,chunusi na upele huweza kuondolewa na madawa mbalimbali watumiayo dada zetu wa kizazi kipya.Usije ukalogwa kukurupukia uzuri wa sura
unaouwona barabarani.Huyu dada make up imemfanya kuwa kijana mwenye mvuto wa kimataifa.

No comments:

Powered by Blogger.