Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Madereva Waliotekwa Congo Na Waasi Wawasili Nchini


madereva-tekwa-1-001Mmoja wa ndugu akilia baada ya kumuona mtoto wake ambaye alikuwa miongoni mwa madereva waliotekwa na waasi wa Maimai.
madereva-tekwa-2-001Mmoja wa madereva aliyetekwa akisalimiana na mkewe na mama yake mzazi.madereva-tekwa-3-001Dereva aliyetekwa akisalimiana na rafiki, ndugu na jamaa zake baada ya kuwasili nchini.madereva-tekwa-4-001 madereva-tekwa-5-001Mmoja wa madereva aliyetekwa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na ndugu zake.madereva-tekwa-6-001Baadhi ya madereva wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zao.madereva-tekwa-11-001 madereva-tekwa-12-001Madereva na makondakta wao wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Saalam.Baadhi ya ndugu wakitoa machozi baada ya kuwaona ndugu zao waliotekwa na waasi wa Maimai kabla ya kukombolewa na vikosi vya wanajeshi wa Congo.

No comments:

Powered by Blogger.