Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MASKINI PENY,INAUMAA

MASKINI PENY,INAUMAA

| No comment
Penniel Mungwilwa ‘Penny’.
ALIYEKUWA Mtangazaji wa Redio Efm ambaye pia ni zilipendwa wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mungwilwa ‘Penny’ amefunguka kwamba anajisikia poa sana kuwa singo kwani kuna raha yake.

Akipiga stori na Ijumaa kuhusu maisha yake ya kimapenzi kwa sasa, Penny alisema hana mtu na ameamua maisha yake yawe hivyo wakati akijipanga kumtafuta yule wa kuanzisha naye maisha ya ndoa. “Watu hawajajua raha ya kuwa singo, kwanza hufungamani na mtu yeyote na kingine unakwepa maskendo mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii maana huchelewi kuambiwa umebeba mwanaume wa mtu,” alisema Penny.