Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Msanii wa Bongofleva Rayvanny Avurugwa na Shepu ya Snura Kitandani Wakati wa Ku-Shoot Video

Msanii wa Bongofleva Rayvanny Avurugwa na Shepu ya Snura Kitandani Wakati wa Ku-Shoot Video

| No commentBaada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda zito lililopigwa kitandani.

Akipiga stori na eNewz Rayvanny amesema “Ni kweli ile scene ya kitandani ilinipa wakati mgumu sana, hasa ukizingatia ile shepu ya Snura, kuna wakati nilisahau kama tuko location”.

Lakini kwa upande wa Snura anasema yeye aliifanya ile scene kama kazi tu, kama ambavyo script ilimtaka afanye ndicho alichokifanya, na wala hakumtamani Ray.

Snura kwa ujasiri akaongeza kwa kusema “Kama script inataka nimkiss hata mwanangu ninaweza kufanya hivyo”.

Lakini pia kwa upande mwingine Ray alipoulizwa juu ya sababu za kutumia video aliyojishut na Wema katika birthday ya Romy Jones, alisema “Sina tatizo kabisa na Wema na tokea zamani nilitamani sana Wema aonekane kwenye hii video yangu, lakini ilishindikana kumpata sababu ya u-bize wake hivyo nikaona bora nitumie tu ile video tukiwa kwenye birthday ya Romy Jones”.