Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Pichaz kutoka kwenye Nyamachoma Festival ya Dar Sept 3, 2016

Hii ni tamasha ambalo husisha zaidi  walaji mbalimbali wa nyama kukutana na kufurahia nyama mbalimbali ambazo huandaliwa na mabanda mbalimbali ikiwemo Nyama ya kuku, Ng’ombe na Mbuzi.
September iji la Dar es Salaam limepata nafasi nyingine ya kukutana pamoja na kula nyama za aina mbalimbali, Nyamachoma Festival Dar es Salaam imefanyika kwenye viwanja vya Leaders Club.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Dj Maphorisa kutoka South Africa akitoa burudani ya nguvu
.
.
.
.
.
.
.
.Idris Sultan (Kulia) akiwa na mke wa Mwimbaji Jose Mara
.
.
.
.
.
.
.
.Kushoto: Kajala akiwa na rafiki yake
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Powered by Blogger.