Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / TAZAMA PICHA ZA MTOTO WA VAN DAMME AKIFANYA MAMBO ALIYOKUWA AKIFANYA BABA YAKE

TAZAMA PICHA ZA MTOTO WA VAN DAMME AKIFANYA MAMBO ALIYOKUWA AKIFANYA BABA YAKE

| No comment
Bianca, binti wa Van Damme
Uzuri wa Bianca Van Varenberg, 25, usikulaghai ukadhani ni binti wa kuchezea tu. Atakupa mkong’oto hadi usahau njia uliyopitia.

Ni mtoto wa muigizaji mkongwe wa movie za mapigano, Jean Claude Van Damme.


Anajulikana zaidi kikazi kama Bianca Bree. Miaka mitano iliyopita alionekana kwenye uzinduzi wa filamu ya baba yake lakini akawa kimya tena, hadi sasa.Mwaka 2012 alisema angependa atoke kinyake bila kutumia jina la baba yake ndio maana hajaliweka kwenye majina yake.Yeye pia anapenda kuja kuwa muigizaji wa filamu.