Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Wimbo Mpya wa Ruby Kijembe kwa Mawingu na Ruge? Usikilize Hapa


Nimeusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa mwanadada Ruby baada ya kujitoa katika matamasha ya Fiesta. Wimbo unaitwa Wale Wale, mwadada kama kawa kaimba poa sana wimbo unamelody kali sana yaani zile zinaitwaga "Catch Melodies".

Lakini maudhui ya wimbo ukiyasikiliza vizuri naona kama katupa jiwe kwa Clouds na Bwana Mutahaba.

No comments:

Powered by Blogger.