Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Bangi Yawatokea Askari 10 Puani..Watiwa Mbaroni

Bangi Yawatokea Askari 10 Puani..Watiwa Mbaroni

| No comment


 Jeshi la Polisi limetikiswa baada ya maofisa wake 10 kutiwa mbaroni wilayani Siha mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuwaachia watuhumiwa wa shehena ya bangi.

Tukio hilo ambalo limekuwa gumzo, lilitokea Jumanne iliyopita kwenye Kijiji cha Olmolok baada ya maofisa hao kudaiwa kukamata magunia manane yaliyosheheni bangi yakisafirishwa kwenda nchini Kenya.

Ofisa Mnadhimu wa jeshi hilo Mkoa wa Kilimanjaro, Koka Moita kwa niaba ya Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Wilbroad Mutafungwa, alithibitisha kuwapo kwa tukio hilo.


A video posted by Boss Ngasa Dodoma (@bossngasadodoma) on