Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Beyonce Aongoza List ya Mastaa Anaolipwa Pesa Nyingi Kufanya Show

Beyonce Aongoza List ya Mastaa Anaolipwa Pesa Nyingi Kufanya Show

| No comment


Mastaa wa muziki nchini Marekani kila siku wanazidi kutengeneza pesa kutokana na kazi zao ikiwemo mikataba ya showz mbalimbali wanazozifanya. Ili kuhakikisha haupitwi na chochote mtu wangu nakusogezea hii kuhusu kiasi cha pesa wanacholipwa mastaa wakubwa kama Drake, Rihanna, Beyonce, Nicki Minaj, Jay Z na wengine wengi ili kufanya show moja tu.Inawezekana ulikuwa na maswali juu ya gharama wanazotoza mastaa hawa ili kufanya show moja tu, Mrembo Beyonce ametajwa kuongoza kwa kuhitaji pesa nyingi zaidi ili aweze kufanya show moja tu popote duniani.

Hii ni list ya wasanii na kiasi cha pesa wanazotoza kwa show moja

Beyonce – Dola milioni 2 na zaidi

Drake – Dola Laki 5 mpaka Milioni 1.

Rihanna – Dola Milioni 2 na zaidi.

Kanye West – Dola Laki 5 na zaidi.

Lil Wayne – Dola Laki 4.

A$AP Rocky – Dola laki 3.

Fetty Wap – Dola Laki 6

Martin Garrix – Dola Laki moja na nusu.

Kendrick Lamar -Dola Laki 5 mpaka Milioni 1.

Nicki Minaj – Dola Laki 5.

J. Cole – Dola Laki 2.

The Weeknd – Dola Laki saba na nusu mpaka Milioni 1.

Avicii – Dola Laki 5.

Jay Z – Dola Milioni 1 na zaidi.

Pharrell Williams -Dola Laki 5 mpaka Milioni1.