Header Ads

HUYU NDIO MWANAUME SHOGA ANAYEDAI KUWA ANAONA SIKU ZAKE KAMA MWANAMKE NA PIA HUVAA PEDI

Image result for james delicious instagram tanzania

james_delicious shoga ambaye hajutii kuwa hivyo anafurahi kwa jinsi alivyoumbwa tena anatamani sana kama angazaliwa mwanamke pia anadai kuwa anaonaga siku zake kama mwanamke vile na huwa anavaa #PEDI ... sasa ninachojiuliza hizo cku zeke anazionaga wapi jamani...?? Mmmmh kiukweli inashangaza sana mwanaume kuona siku zake....Daaaaaa

tzshaderoom#Repost #new_delicious
・・・
Sikuzote katika maisha yangu nimekuwa happy kuumbwa na kuletwa dunian. Nawala sijutiiii why nimeumbwa hiviii. Na hataaa ikatokea nimebadilika baasi wala sitojutiaaa coz.
Unapooamua kufanya kitu ambacho moyo wako unapenda baas hakunaa budi ya kujitiaaa.
And na jiproud nasijutiiinkuzaliwa hivi
Wapoo watu wengi ambao wamezaliwa hivi nawengine tamaa ya pesaa ndoimewafanya hivi wengineee sehemu walizokuwa wanaishi ndozimewafanya wawee hivi
M nakumbukaga tokaaa nilipokuwa mdogooo nlikuwa napenda saana. Mambo yakikee skuwaai cheza Mpiraa wa miguuu
Skuwaai kujichanganya nawatoto wakiumeee nipige nao story. Mdaaa wotee nlikuwa na pachaa anguu. John Charles. R.i.p my twin ntakukumbuka daimaa .
Mama angu alikuwa ananpendaaa. Saaana. Mpaka nkawanajiona rahaaa. Nampaka kesho mama angu ananpendaa saaana. Namim piaa mama angu nampendaa .mama angu apendi niweee hivi but. Atafanyajee ndoisha tokeaaa.
Namim ndomwanae atanitupa kwanani.. Nakumbuka mpaka muhimbili tuliendaaa kucheck hormony. Nikakutwa ninahormony za kikeee
Nikawa napewaa dawa zakupunguza zileee hormony. Lakin haikusaidiaaa. Kanisan koteeeee tumeendaa WAP hakunaa tuluchopataaa.
Kwa wagangaaa. Mganga gaaan nisio mjuua mim jaman 😢😢😢😭😭😭. Laaakin WAP haikusaidia.
Laaabda ndo ilivyopangwaa mim kuwaa hivi pengineee. Mollah ndoanajua hatma yangu.
Ila KWA UPANDE WANGU NAONA SAWA NANINAONA SAWAA TUUU.. kaaaaa mkao wakulaaaa. Soon. Ntaelezea life style yangu. Na maishaa yangu. Ya ukweelii.. Thanx

KWA UMBEA WA INSTAR FOLLOW ME @bossngasadodoma

 

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.