Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Joketi Kujenga Viwanja Vya Michezo

Joketi Kujenga Viwanja Vya Michezo

| No comment


Mrembo, Jokate Mwegelo ameahidi kujenga viwanja vya michezo kwa shule ya Sekondari ya Majani ya Chai iliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika mahafali ya nane ya shule hiyo, Jokate alisema atajenga viwanja hivyo kupitia kampeni yake yake ya kuchangia jamii ijulikanayo kwa jina la “Be Kidotified.”

Amesema ameguswa na changamoto mbalimbali zinazoikabili shule hiyo na kuamua kusaidia kwa kupitia kampeni yake hiyo.

Tayari Jokate amekabidhi viwanja katika shule ya Sekondari ya Wasichana wa Jangwani

JIUNGE NASI INSTAGRAM UPATE UHONDO ZAIDI BONYEZA HAPA @bossngasadodoma>>>>https://www.instagram.com/