Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

LEMUTUZ ATOA SIRI KUBWA BAADA YA WATANZANIA KUKOSA TUZO.....SOMA HAPA KUJUA UNDANI......!!


LIVE HARD TALK:- Ok guys kwanini huwa ninaita watu akili ndogo ni kwa sababu mtu anakuwa hana uwezo mkubwa wa kufikiri lakini masikini ya Mungu anajikweza na kujifanya anao mbele ya watu wenye AKILI KUBWAZZZ guys utaishia kuchekesha sana ...nilichofanya toka jana ni kutoa nafasi kwa kila mwananchi mshiriki hapa kutoa maoni yake as ni kwa nini tumeshindwa tuzo zote jana? na kupunguza shombo nikaamua kuandika kwa English maana najua team hewa wengi hakipandi ....now zikatolewa comments nyingi sana binafsi nikaaamua kwamba kati zote ni 2 tu zinazo make sense .....(1). NIGERIA POPULATION NI KUBWA KULIKO YETU MARA 3 ......(2). WENZETU WALIKUWA WANA NJAA YA USHINDI NA WALIJITAYARISHA ZAIDI KULIKO SISI.....sasa naona akili ndogo wote wanakazania kukosoa hoja ya kwanza tu kwamba eti Diamond aliposhinda huko nyuma population ilikuwaje? ........hii ni one argument nimeona ikibebwa na akili ndogo wengi sana guys back off Mama Clinton alishindwa Urais vipi na Obama? Ni kwa sababu kila anayempenda aliamini atashinda na matokeo ni wengi hawakuenda kupiga kura wanaompenda Obama wote wakaenda kupiga kura so safari hii wanaompenda Mama Clinton hawakufanya makosa ndio maana akashinda Primaries ....ndio maana nikaikubali argument ya population inawezekana huko nyuma Wanigeria walifanya kosa lile lile la kuamini wapo wengi watashinda so hawakupiga kura lakini this time around wakaenda kupiga kura kwa wingi wakatushinda tena kirahisi sana ndio maana China imekuwa the largest Economy in the World ni kwa sababu finally wameshituka na kuanza kuutumia wingi wao Duniani in transformation with Economy ni lazima washinde cause wapo more than 1 Billion imagine wakipiga kampeni kila mmoja anunue chupa moja ya Cocacola kwa wiki moja tu inakuwa ni a Crash of revenue numbers for Cocacola Dunia nzima sasa the point here is huko nyuma walikuwa wamelala na sasa wameamka .....guys jifunze kubishana na FACTS kama unasema mateam hewa yamechangia basi jenga hoja serious badala ya kukataa usichokijua naomba kuuliza kati yetu nani ana uhakika kwamba ni kura tu ndio zinampa msanii ushindi huko kwenye hizi awards? ....I mean guys jifunze kutafuta majibu magumu kwa maswali magumu! - le Mutuz Nation
A photo posted by l (@lemutuz_nation) on

No comments:

Powered by Blogger.