Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Majibu ya Amber Lulu Baada ya Kudaiwa Alikamatwa na Madawa ya Kulevya

Majibu ya Amber Lulu Baada ya Kudaiwa Alikamatwa na Madawa ya Kulevya

| No comment


Leo mtangazaji Soudy Brown amepiga story na  Amber Lulu, mwanadada maarufu kwenye mtandao wa Instagram ambaye inaelezwa kuwa aliwahi  kutoka kimapenzi na Rapa Young Dee. Sasa wiki iliyopita kupitia U Heard ilitoka stori kwamba Amber Lulu amekamatwa na madawa ya kulevya akiwa uwanja wa ndege.

Soudy Brown amempata Amber Lulu kwenye line na ameeleza kuwa sio kweli kuwa alikamatwa na madawa ya kulevya kama inavyodaiwa na hajawahi kujihusisha na ishu za aina hiyo isipokua wakati anadate na Young Dee ndio stori za kutumia madawa ya kulevya zilianza kuzagaa mtaani.

Watu wanasema mimi nilikamatwa sijui sipatikani kitu ambacho sio kweli, mi nilikwa Arusha na sikuaga mtu kwasababu ni maisha yangu na hua sina utaratibu huo, na huyo Gigy Money aache maisha yangu afanye mambo yake, mimi nimetoka Arusha kuja Dar kutafuta maisha.  kwetu Kurasini hapo, Mimi Passport yangu ilisumbua na sio kukamatwa na madawa ya kulevya:- Amber Lulu