Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MALAIKA AWALIPUA WANAUME WANAOISHI KWA MWANAMKE,AWAPA MAKAVU LIVE

MALAIKA AWALIPUA WANAUME WANAOISHI KWA MWANAMKE,AWAPA MAKAVU LIVE

| No comment


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri wa wimbo wake wa ‘Rarua’ Malaika amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanaume lijali na mwanaume aliyekamilika ambaye anaweza kuishi kwenye nyumba ya mwanamke.Malaika alisema hayo kupitia kipindi cha ujenzi kinachorushwa na EATV alipokuwa akionesha hatua iliyofikia nyumba yake hiyo na kudai kuwa haamini kama kuna mwanaume atakuwa tayari kuja kukaa kwenye nyumba
ambayo yeye amejenga kwa jasho lake, Malaika anadai nyumba hiyo ameweza kuijenga kwa pesa za muziki na dili nyingine mbalimbali hivyo alianza mdogo mdogo mpaka sasa anakaribia kuhamia.

“Sidhani kama kuna mwanaume lijali, mwaume kamili ambaye anaweza kuishi kwenye nyumba ya mwanaume, au nyumba aliyojenga mwanamke, dunia ya leo ukiona mwanamke ana gari zuri, nyumba nzuri lazima hapo mwanaume ujipange. Hivyo sidhani kama mwanaume atatoka mwanaume huko aliko na kuja kuishi kwangu” alisema Malaika
Eatv.tv