Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MASKINI: Saida Karoli Aelezea Alivyotumiwa Kuwatajirisha Watu Huku Akibaki Maskini

MASKINI: Saida Karoli Aelezea Alivyotumiwa Kuwatajirisha Watu Huku Akibaki Maskini

| No comment


Muimbaji nguli wa Tanzania aliyetamba na vibao kama Mapenzi Kizunguzungu, Kitobero na nyingine nyingi amesema kuwa ana hofu ya kuwa na meneja kwa sasa kutokana na yaliyomsibu miaka kadhaa nyuma.

Najua, kuna mameneja wazuri katika muziki wa bongo kama meneja wa Diamond Platnumz hata wa Ali kiba. Lakini kuna baadhi ya mapromota na mameneja kwa kweli nina wahofia sana. Alisema Saida Karoli.

Saida Karoli ameeeleza kuwa wakati wake alifanya vizuri sana kimuziki lakini hakuona mafanikio hayo kifedha. Hayo yote ni kutokana na uongozi wake.

Amesema kuwa hata sasa akipata meneja mwingine atahakikisha anajiridhisha kwanza kama anaweza kazi ndio aingie nae mkataba. Saida Karoli amesema jina lake kwenye jukwaa ni kubwa sana kuliko mafanikio aliyonayo, na hii humfanya aamini kuwa alitumika kuwanufaisha watu wengine.

Nilikuwa nikilipwa fedha kidogo sana kutokana na kazi zangu za muziki. Kama mwandishi akitembelea ninapoishi Watanzania wataweza kuelewa ni nini ninazungumzia.

Muziki wa Saida Karoli bado unaendelea kuishi na kuvutia watu mbalimbali licha ya kuwa uliiimbwa miaka mingi nyuma. Diamond Platnumz aliurudia wimbo wake wa Salome na kuongeza vionjo ili kuuboresha na Saida Karoli atapata asilimia 25 ya mauzo yote ya wimbo huo