Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Meneja wa Alikiba Afunguka Mkasa Mzima wa AliKiba Kushushwa Stejini Ghafla Huko Mombasa.

Meneja wa Alikiba Afunguka Mkasa Mzima wa AliKiba Kushushwa Stejini Ghafla Huko Mombasa.

| No commentAmerican Superstar Chris Brown, Jumamosi ya juzi ali rock kwenye tamasha la Mombasa Rocks Festival, ambalo tamasha hilo lilifanyika kwenye hoteli kubwa inayoitwa Mombasa Golf Hotel.

Mombasa Rock Festival lilikuwa na wasanii wengi wa ku-perform kutoka ndani na nje ya Kenya. Kutoka Bongo tuliwakilishwa na King Kiba pamoja na Vee Money.

Lakini kuna video zinasambaa zikionesha kuwa wakati anaperform Kwenye tamasha hilo, Kiba alipanda juu ya speaker, alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani na kupandishwa Chris Brown.

Swali..Je kupanda juu ya speaker ndio kulisababisha waandaaji wamshushe Kiba au ?

Kupitia perfect255 ikaona isiwe kesi.. nakumvutia waya moja kwa moja Meneja wa AliKiba, Aidan Charlie nakufunguka haya.

“Hapana kwanza Ilo la kupanda juu ya speaker haikuwa sababu, kwa sababu Wizkid nilimuona pia alipanda na hakushushwa.” aliendelea Aidan

“Issue kubwa iliyokuepo nitime, show ilitakiwa ianze saa 8 mchana na kumalizika usiku kama saa 6 lakini kutokana na wenyewe maorganizer walivyojiorganize mambo haya kwenda kama yalivyopangwa, kwa hiyo baada ya kuanza show saa 8 ikaanza saa 3 usiku.”

“But the time show inaanza wakaperform Navio, Vanessa hata nazizi akaondolewa..” alisema Meneja Aidan.