Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MKONGO AMVURUGA KADJANITO, ABADILI NA DINI, AFUNGUKA KUHUSU KUOLEWA

MKONGO AMVURUGA KADJANITO, ABADILI NA DINI, AFUNGUKA KUHUSU KUOLEWA

| No comment


Msanii wa Bongo fleva Khadija Said Maige
maarufu kama Kadjanito amefunguka na kusema kuwa amepagawa na mapenzi ya Tresor Lisimo mchezaji wa mpira ambaye ndiye anataka kufunga naye ndoa tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka huu.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZAO

Kadjanito kupitia kipindi cha eNewz anasema aliona amekaa peke yake kwa muda mrefu hivyo ameamua kuwa mke wa mtu ili na yeye awe mwanamke aliyekamilika sababu amempata mtu anayependana naye na mtu ambaye wanaelewana.

“Nimeamua kufunga ndoa kwani nilikaa muda mrefu peke yangu nikatafakari nikaona siyo kitu kizuri nikiwa kama msichana ambaye nina ‘Inspire’ watu wengi lazima kuna vitu nifanye ili niwe mwanamke kamili, maana ukiwa peke yako mtu anaweza kukuchukulia labda huyu mtu muhuni lakini mimi nimeamua kuwa mke wa mtu, najua ni kitu kikubwa lakini haitanifanya mimi niache kazi zangu za muziki”

Ameendelea kusema “Nimeamua kufunga ndoa sababu nimeona nimepata mtu ambaye tunapendana, ninaendana naye na ninampenda sana. Aisee mimi nafunga ndoa ya Kikristu yaani jamaa nimemzimia mpaka nimeamua kumfuata katika imani yake, kiukweli ninamfuata” alisema
Kadjanito
Dondosha comJIUNGE NASI INSTAGRAM UPATE UHONDO ZAIDI BONYEZA HAPA @bossngasadodoma>>>