Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

NAFASI YA KIPEKEE ALIYOIPATA VANESSA MDEE KWENYE ALBUM MPYA YA COMMON “BLACK AMERICA AGAIN”


Ukiachana na Tamar Braxton kusema kwamba anamkubali Vee Money, Vanessa Mdee amepata nafasi ya kipekee kusikiliza Album mpya ya Common ya Black America Again .

Baada ya kupata nafasi ya kukutana na moja ya wasanii wakubwa wa miondoko ya HipHop huko Marekani, Vanessa Mdee kupitia kurasa yake ya Instagram aliandika ujumbe wa kuwa amepata nafasi ya kipekee kusikiliza Album mpya ya Common ya Black America Again huko Morehouse collage, Album hiyo ya Black America Again
JIUNGE NASI INSTAGRAM UPATE UHONDO ZAIDI BONYEZA HAPA @bossngasadodoma>>>

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.