Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Nay wa Mitego Adai Wema Sepetu ndiye Aliyemfilisi Idris Sultan (Video)

Nay wa Mitego Adai Wema Sepetu ndiye Aliyemfilisi Idris Sultan (Video)

| No comment


Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego ameanza kuitupia madogo kambi ya malkia wa filamu Wema Sepetu kwa kudai mwigizaji huyo ambaye zamani alikuwa mpenzi wa Idris Sultan ndiye aliyemfilisi mshindi huyo wa BBA 2014.

Rapa huyo ambaye yupo kimya kwa sasa, alipost video katika mtandao wake wa instagram akieleza ni kwanini mshindi huyo wa BBA 2014 alifilika.

“Huwa najiuliza kitu kimoja ni mwanamke gani amemaliza mahela ya Idris?,” aliuliza Nay kupitia video hiyo. “Ni yule Msouth au madam (Wema). Mimi nadhani atakuwa madam maana madamu ni mtu wakukwarua mahela mengi, tena kabla hajatua Tanzania walimwambi, huku nyumbani kuna wanawake wacheza sinema maharamia wakikukamata na hizo hela utajikuta huna hata mia,”

Kambi ya malkia huyo wa filamu haijajibu chochote juu ya tuhuma hizo.A video posted by Boss Ngasa Dodoma (@bossngasadodoma) on