Header Ads

TAZAMA YAMOTO BAND WALIVYOFANYA COVER YA “MAMA” KWENYE COKE STUDIO

Kati ya watanzania ambao walikinukisha mwaka huu pande za Nairobi nchini Kenya kwenye issue ya Coke Studio ni pamoja na kundi la Yamoto Band.
Na weekend iliyopita tulipata kuwashuhudia kwenye kioo cha Clouds TV wakikinukisha kinoma noma katika moja ya collabo ambazo wamefanikiwa kuzifanya kwa msimu huu.
Kama ilikupita usihanye, nimeisogeza kwako hii hapa ambayo wamefanya cover ya ngoma ya Mama na unaweza kuitazamaJIUNGE NASI INSTAGRAM UPATE UHONDO ZAIDI BONYEZA HAPA @bossngasadodoma>>>

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.