Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: ‘Alitajwa Mke wa Marehemu Mmoja Mimi Nafahamu Wako Wanne au Watano’-Magufuli


Leo October 17 2016 Rais John Magufuli ameongoza wananchi wa jiji la Dar es salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa meya wa jiji hilo Dk. Didas Masaburi aliyefariki October 12 2016.

Baada ya msomaji wa wasifu wa Dk. Masaburi kutaja kuwa  marehemu ameacha mke mmoja, Rais Magufuli alipata nafasi ya kuzungumza na kusema anafahamu Dk. Masaburi alikuwa na wake wanne au watano na hata watoto anafahamu kuwa anao zaidi ya 20, aidha Rais Magufuli amewaomba watoto wa marehemu kushikamana na kuwa wamoja, unaweza kuangalia video hii hapa chini..

No comments:

Powered by Blogger.