Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / WANAUME MSIDANGANYWE KWA BIKIRA

WANAUME MSIDANGANYWE KWA BIKIRA

| No comment
post-feature-image

Kumekuwepo na baadhi ya wanaume ambao wanapotafuta wenza wa maisha basi,,wangependa kupata mwanamke bikra..Nadhani bado wanaume wengi wanajua machache kuhusu bikra.Basi wasome hapa
++
Kuna kiungo kama musuli ambacho chaweza kuwa kigumu,upande wa nje wa uke wa mwanamke.Kiungo hichi ambacho ni kizinda ndicho huitwa Bikra.
Nafasi iliyoko kwenye kizinda cha msichana bikra ni kiasi cha upana wa inchi moja.
++
MUHIMU KUTAMBUA
50% ya mabinti husikia maumivu kidogo wakati bikra inapotolewa.
20% hawapati maumivu yoyote.
30% husikia maumivu makali
Wakati mwingine binti anaweza kupoteza bikra yake kutokana na shughuli za kawaida,,hivyo usidhani imetoka kwa mapenzi tu.
++
KWA MUJIBU WA UTAFITI WA Dokt Marie Robinson 

JIUNGE NASI INSTAGRAM UPATE UHONDO ZAIDI BONYEZA HAPA @bossngasadodoma>