Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

WASANII WA DODOMA WATUNISHIANA MISULI KWENYE SHOW DODOMA FINEST SESON 2 ILIYOFANYIKIA MAISHA CLUB DODOMA USIKU WA KUAMKIA LEO

Wasanii wa Dodoma siku ya jana walitunishiana misuli baada ya kukutana kwenye jukwaa moja na kuonyesha uwezo wao mbele ya Mashabiki wao. DODOMA FINEST Ni show ambayo hufanyika kila mwaka ambayo huandaliwa na Maisha Club Dodoma kwa lengo la kudhamini na kutambua mchango mkubwa sana kutoka kwa wasanii hawa wa Mkoani Dodoma...tazama picha ya kilichojiriJIUNGE NASI INSTAGRAM UPATE UHONDO ZAIDI BONYEZA HAPA @bossngasadodoma>>>

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.