Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / AUDIO: Walichokisema Hospitali ya Muhimbili kuhusu kifo cha Joseph Mungai

AUDIO: Walichokisema Hospitali ya Muhimbili kuhusu kifo cha Joseph Mungai

| No comment
Taarifa ambazo zimeripotiwa jioni ya November 8 2016 zimesema kuwa aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania, Joseph Mungai amefariki dunia huku taarifa za awali zikidai kuwa alianza kwa kutapika mfululizo, familia imedai kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa kula kitu kibaya.
Taarifa za kifo zilizothibitishwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya umma Hospitali ya Muhimbili, Aminiel Bubwerwa Aligaesha amesema wamethibitisha kifo chake ila hakuwa amelazwa hospitalini hapo…………
>>> ‘hakuwa amelazwa hospitali ya Taifa Muhimbili, sisi tumepokea mwili wake, amekuja akiwa ameshakufa na sisi tumepokea mwili wake katika idara yetu ya magonjwa dharura na madaktari wetu wakathibitisha kifo chake na kupeleka mwili wake kwenye chumba cha kuhifadhi maiti’