Header Ads

AudioMPYA: Weusi wametuletea collabo hii na Christian Bella’Nijue’

Kila siku wasanii wa bongofleva wanashirikiana kuupeleka Next level muziki wa Tanzania kwa style tofauti tofauti, Leo Nov 10 2016 kundi la wasanii wanaofanya vizuri kwenye hiphop game “Weusi” wamefanya collabo na King of Best Mellodies Christian Bella nakutuletea vionjo vya tofauti vya ngoma hii iitwayo ‘Nijue’ chini ya producer Nahreel.
Nimekuweka hapa chini Bonyeza Play kuusikiliza
AudioMPYA: Weusi wametuletea collabo hii na Christian Bella’Nijue’

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.