Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

Aunt Ezekieli Ajibiwa, Mose Iyobo ni Mwanaume Mzuri Kuliko Wanaume Wote?


Msichana ambaye aunt Ezekiel alikuwa anadai anataka kunyang'anya mume amemjia juu na kudai hana mpango huo na yupo karibu na mose Iyobo kwa sababu wamezaa pamoja mtoto

Msichana huyo amesema tayari nae ana bwana na kumhangaa anti Ezekieli kuzusha maneno anaibiwa bwana na kumuuliza kwani mose iyobo ana fedha kuliko wanaume wote au ni mzuri kuliko wote hadi yeye amnyang'anye?? VIDEO:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.