Header Ads

BREAKING NEWS ... LOWASSA, SUMAYE WAIBUKIA BUNGENI

Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.

Chanzo: Mwananchi

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.