Header Ads

Dodoma: Wabunge CCM Wakiri Tuhuma za Mbowe ni Nzito, Wajipanga Kuzijibu


Wabunge mbalimbali wa CCM,niliozungumza nao hapa Dodoma,wamekiri kuwa tuhuma za kuhongwa milioni kumi kila Mbunge wa CCM ni nzito. Tuhuma za kuhongwa ili walipishe Muswada wa Sheria ya Habari zilitolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Freeman Mbowe.

Wabunge hao wanajipanga kujibu tuhuma hizo kwakuwa zinawachafua wao,chama cha Mapinduzi na Serikali ya Rais Magufuli. Wanajipanga kumtaka Msemaji wa CCM,Ole Sendeka kutoa tamko la kichama.

Mambo yanazidi kunoga!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.