Header Ads

EXCLUSIVE :MUONEKANO WA CLUB MPYA JIJINI MWANZA MAISHA CLUB BASEMENT MWANZA MUDA MCHACHE KABLA YA UZINDUZI

Ikiwa imebaki Masaa machache kabla ya uzinduzi wa Club Mpya Jijini Mwanza Huu ndio muonekano wa club hii Maisha Basement Mwanza ambayo inatajiwa kuzinduliwa kesho siku ya Alhamis kwenye white party ambapo watahudhuria wenye kadi maalumu za mwaliko na ijumaa ndio takuwa ni rasmi kwa watu wote..... MSIKOSE HII KWA WATU WA KANDA ZIWA:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.