Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / FACEBOOK YAKANA KUMSAIDIA USHINDI DONALD TRUMP

FACEBOOK YAKANA KUMSAIDIA USHINDI DONALD TRUMP

| No comment


Mwanzilishi wa mtandao wa facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa atatumia kila njia kukabiliana na habari za uongo,huku akikana madai kwamba mtandao huo ulimsaidia rais mteule wa Marekani Donald Trump.Mark Zuckerberg akana facebook ilimsaidia Donald Trump kushinda uchaguziKatika chapisho lake katika mtandao wa facebook ,Zuckerberg amesema kuwa atatangaza mikakati ya kukabiliana na habari zisizo na ukweli hivi karibuni.Amesema hatua hiyo itachukua muda mrefu ili kuhakikisha kuwa marekebisho yanayofanywa hayatakuwa na athari zozote ama upendeleo.Ameongezea kuwa zaidi ya asilimia 99 ya habari zilizopo ndani ya mtandao huo ni za kweli.''Ni habari chache sana zilizo na uwongo na utapeli.Utapeli unaoendelea haupendelei mtu mmoja wala hata siasa'', aliongezea.
Amesema kuwa haiwezekani kwamba utapeli uliopo ulibadilisha mwelekeo wa uchaguzi nchini Marekani.