Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / huyu ndiye mwanaume mwenye mvuto zaidi Duniani mwaka 2016.

huyu ndiye mwanaume mwenye mvuto zaidi Duniani mwaka 2016.

| No comment

Leo November 15 2016 Jarida maarufu la nchini Marekani People limemtangaza mwanaume anayeaminika kuwa na mvuto zaidi duniani kwa mwaka 2016 ambapo limemtajua staa mwigizaji  Dwayne ‘The Rock’ Johnson kuwa ‘The Sexiest man alive’ ama mwanamume mwenye mvuto zaidi  kwa mwaka 2016. Jarida hilo liliandika kupitia ukurasa wake wa Twitter na kusema…..
‘Ni mpole, mtanashati na aliyejengeka kimwili’
Baadae kupitia ukurasa wake wa Twitter, The Rock alitoa shukrani zake kwa jarida hilo  pamoja na Mashabiki juu ya ushindi huo.
Mwaka 2015 nafasi hiyo ilikuwa imeshikwa na David Beckham
the-rock2
Ni dhahiri kwamba 2016 umekua mzuri sana kwa The Rock, kwani licha ya  kutajwa kuwa Mwanamume mwenye mvuto zaidi duniani, jarida la FORBES lilimuandika kuwa muigizaji aliyeingiza pesa ndefu zaidi kuanzia June 2015- 2016 huku akiwa ametengeneza dolla za kimarekani milioni 64.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 14 za kibongo.