Header Ads

KUTOKA JIJINI MWANZA KIJANA IRISHADI BIKONGORO ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA:


kijana mdogo Inayefahamika kwa jina la Irishadi Bikongoro ambaye ni mfanyabiashara Maarufu sana Jijini mwanza kwa Biashara yake ya Vipodozi, Kijana huyu siku ya leo aliamua kutenga muda wake na kwenda kusherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima kwa kula nao keki pamoja na kuwapatia zawadi kadhaa, kikukweli ni jambo zuri ambalo amelifanya kijana huyu, huwa tumezoea baadhi ya vijana husherekea birthday zao kwa kufanya mambo ya Anasa ambayo hayampenzi mungu, kwa karne hii ukiona kijana anakumbuka kusaidia watoto yatima,kiukweli anastahili pongezi kubwa sana....HONGERA SANA KIJANA MWENZETU, WEWE NI MFANO WA KUIGWA:Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.