Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

LILE LA ALIKIBA JUKWAANI MOMBASA, LAMTOKEA MSANII HUYU WA MAREKANI KWENYE USIKU WA TUZO ZA AMA’S


Baada ya skendo ya kuzimiwa Mic Jukwaani Kutoka kwa Msanii Ali kiba huko Mombasa Nchini Kenya kwenye tamasha la Mombasa Rocks, ambalo lilimdondosha msanii wa Marekani, Chris Brown kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki. Chriss alisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Vanessa Mdee na wengine wengi.
Msanii wa muziki wa RnB Marekani, August Alsina juzi pia alizimiwa Mic alipokuwa aki tumbuiza kwenye sherehe za ugawaji wa Tuzo za American Music Awards 2016.
 
August Alsina
Alsina alienda mbali kwa kulaumu uongozi wa Tamasha hilo kwa kudai kuwa amejiandaa kwa wiki nzima kwa ajili ya kutumbuiza mwisho wa siku wana mfanyia figisu figisu za kumzimia mic akiwa jukwaani.
“Rehearsed all week only to have AMA’s not hae my mic on for live TV feed pretty Fuckin WACK, so I definitely understand the “lip-sync” talk. I feel played just like you do. Anyhow Thank you for the opportunity AMA’s & overall a good time with my brother Djkhaled. Do you mind is the number 1 record in the country so none the less, I am blessed.” Alsina ameandika hivyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.

Lakini hata hivyo mkali huyo wa Hit Song ya Hip Hop ame wafariji mashabiki wake kwa kuwambia wasihofu kwani watamuona na kumsikiliza kwenye Tamasha lake “Wanna hear me live, come to a show that’s in MY control bihhhhhh! Lol Love yal.“ aliandika hivyo kwenye post yake aliyoiweka Instagram.

Post yake nzima ilisomeka hivi
Rehearsed all week only to have AMA’s not have my mic on for live TV feed pretty F*ckin WACK, so I definitely understand the “lip-sync” talk. I feel played just like you do. Anyhow Thankyou for the opportunity AMA’s & overall a good time with my brother @djkhaled Do you mind is the number 1 record in the country so nonetheless, I am blessed. Wanna hear me live, come to a show that’s in MY control bihhhhhh! Lol Love yal.

No comments:

Powered by Blogger.