Header Ads

MAAJABU MAKUBWA KWENYE HARUSI YA NUH MZIWANDA , AOWA MWANAMKE AISYEMTARAJIA
November 10 2016 moja kati ya stori zinazotrend katika mitandao ya kijamii hususani instagram ni kuhusu msanii wa bongofleva anayefanya vizuri katika radio na tv station za bongo kwa hit single yake ya ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda.

Katika baadhi ya instagram account za watu mbalimbali wamepost picha zikimuonesha Nuh Mziwanda na mpenzi wake kuwa wameamua kufunga ndoa, 1FMTZ imeongea na Mziwanda na kuthibitisha kufunga ndoa lakini amesema amemuacha mkewe kwao kesho ndio watafanya sherehe na kuondoka na mkewe.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.