Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MANGE KIMAMBI ACHAFUA HALI YA HEWA,AWAJAMBISHA CLOUDS FM WAZI WAZI

MANGE KIMAMBI ACHAFUA HALI YA HEWA,AWAJAMBISHA CLOUDS FM WAZI WAZI

| No comment
#mangekimambi Wasaniii wa Tanzania inabidi muutilie manani ule msemo unaosema , the enermy of my enermy is my friend. Kwa Kiswahili ni kwamba ' Adui wa adui yangu ni rafiki yangu.... Adui makubwa mkubwa wa clouds kwasasa hivi ni Efm so nyinyi lazma m-join forces na Efm in order kuwanyooosha clouds....
Ndio sio wasaniiii wooote watakaokubali kuwagomea clouds. Lazma kutakuwa na masnitchi wachache. hao wachache waacheni lakini wengi wenu angalau 80% yenu mkiwapa nguvu Efm, clouds wataomba pooo..... inabidi wasaniiiii mpunguze nguvu ya clouds... ngoma zenu zikipigwa Efm na ma interview yoooote ya umbea yakifanyika Efm wananchi wenyewe woooote wataanza kusikiliza Efm watahama clouds. Na clouds hawawezi kukubali kupunguza listeners wataomba poooo tu......
.
.
You guys have to come together na muondoe kabisa huuu udikteta wa clouds....sijawahi kuona wa kusikia duniani eti radio station inaweza Kugoma kupiga nyimbo ya msaniii kisa hawampendi... hapa marekani ukiona radio imeacha kupiga nyimbo ya mwanamuziki flani ujue ni sababu ya wananchi Kama vile ilivyotokea kwa Chris brown baada ya kumpiga Rihanna... Yani inabidi Mwanamuziki awe kakosea jamiiii nzima kwa kitu kikubwa na sio eti sababu bosi wa radio hampendi..... Its very stupid..... .
.
Inabidi muungane na mtuambie ni wasaniiii gani waliokataaa kujiunga na huo mgomo ili wananchi wawanyoooshe kwa kugomea show zao.....😂...... seriously hata wale ambao sasa hivi mnapendwa na mabosi wa clouds lazma muwasaidie wenzenu sababu na nyie kuna siku tu yatawakuta..
.
Yamoto band wenyewe wametendwa na Ruge. Wanamdai mamilioni. Ile kumdai Ruge kawapoteza kwenye ramani.... Yamoto band pia manager wao alikuwa Ruge , babu Tale anauza sura tu. Hana msaaniii yoyote anaem-manage... Yani ukiona msaniii eti manager wake ni Babu Tale au Salaam we jua ni msaniiii wa clouds.... Clouds FM is the CCM of the music industry.... The dictatorship has to end. Ni nyinyi wasaniiii wenyewe mtaoweza kuwanyooosha clouds