Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MCHEPUKO WA BARAKA DA PRINCE AVUJISHA VIDEO ZA MAHABA AKIWA NA BARAKA

MCHEPUKO WA BARAKA DA PRINCE AVUJISHA VIDEO ZA MAHABA AKIWA NA BARAKA

| No comment


Baby, Sweety, Darling ndio majina yaliokuwa yakisikika katika video ambayo imemfikia mbeya mwenye vyeti vyake Soudy Brown ikimuonyesha msanii wa Bongo Fleva Baraka Da Prince na mtoto mzuri afahamikae kama Betty Mwita wakijiachia kwa raha zao.

Kilichomtatiza Soudy Brown ni kwamba inajulikana kwa kila mmoja kuwa Naj ndio shemela wetu kwa Baraka Da Prince, lakini katika video hiyo anaonekana mtoto BettySoudy akaona isiwe kesi acha apige story na mtoto Betty ili kuliweka sawa jambo hili.
Kwa madai ya mtoto mzuri Betty ni kwamba yeye na Baraka kwasasa hawapo katika maelewano mazuri na ni leo tu wametoka polisi kuhusu suala zima la video zilizo sambaa mitandaoni.
Sasa hautaamini ukilisikia jibu la Baraka Da Prince baada ya kupigiwa simu na Soudy Brown na kuulizwa kuhusu issue hiyo. Play hii video hapa chini ina ubuyu mzima kuhusiana na issue hiyo.