Header Ads

MH SHABIBY MBUNGE WA GAIRO AFANYA KUFURU YA KUMALIZA MWAKA....SHUHUDIA HAPA ALICHOKIFANYA.....!!

#shikamoo shabiby... #kifaru #shabiby sio mtu sport sport bana..Mashine mpyaaa zero #kilometers yani #brand_new...Meli ya kwanza zimeingia basi 8 na meli nyingine zimeingia 4 jumla 12 tayari kwa safari ya kuja Tanzania tar 8 hadi 12 zitakuwa zimeshaingia basi zote, salut kwako Mh Shabiby kwa kuturahisishia usafari salama na wa uhakika kabisa bila zengwe pia asante kwa kuongeza ajiri kwa watanzania...!! COMMENT NENO MOJA LA PONGEZI KWA MH #SHABIBY Mb wa Gairo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.