Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MREMBO ALIYEUMBUKA KWENYE TV BAADA YA NGUO YAKE KUCHANIKA, AFANYA SURGERY KUONGEZA MAKALIO

MREMBO ALIYEUMBUKA KWENYE TV BAADA YA NGUO YAKE KUCHANIKA, AFANYA SURGERY KUONGEZA MAKALIO

| No comment

Bila shaka utakuwa ulikukutana na video iliyosambaa sana mitandaoni ikimuonesha mrembo mmoja akiumbuka baada ya nguo yake kuchanika na kumwacha mtupu wakati kipindi kikiwa hewani kwenye Tv.
Mrembo huyo anaitwa, Lateysha Grace ni mtangazaji wa Tv na pia alikuwa mshiriki wa Big Brother UK mwaka huu ameamua kufanya surgery kwa mara ya tatu ili kuongeza makalio baada ya tukio la aibu kumkuta akiwa hewani.Imeripotiwa kuwa mrembo huyo ametumia zaidi ya £4,000 kufanikisha zoezi hilo huku akidai kuwa hatoacha kufanya surgery hadi atakapolizika, huku bado akiwa na plan ya kufanya surgey nyingine kwenye mwili wake.

D