Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

MTOTO DREAM WA BLAC CHYNA AWAVURUGA AMBER ROSE NA KHLOE KARDASHIANKitendawili cha Amber Rose au Khloe Kardashian nani atakua Mama Wa Ubatizo Wa Mtoto Dream wa Blac Chyna na Rob Kardashian bado ni tatizo.
Inaonesha kama Rob na Chyna wanaweza kuingia kwenye mgogoro mwingine siku za hivi karibuni.
“Rob na Blac Chyna ndio wenye maamuzi ya kumchagua nani awe mama wa ubatizo wa mtoto wao kati ya Amber Na Khloe”
“Wote wanajua ni kiasi gani Khloe anaitaka nafasi hiyo sio tu kwasababu ni dada wa Rob, Amekua ni zaidi ya mshikaji wa muda mrefu na Rob, lakini upande wa pili unadai Amber Rose nae ni zaidi ya dada kwa Blac Chyna,

Japo hakuruhusiwa kwenda kumuona mtoto mara tu alipozaliwa,Lakini Amber Rose alipata fursa ya kumuona Mtoto kwa muda wake  na kupoa nae kwenye picha tofauti tofauti ” Chanzo cha karibu na familia hiyo kimeuambia mtandao wa boosip.
amberna dream
Amber na Khloe wamekuwa na beef kwenye mitandao ambayo imehusisha mpaka ishu za familia kama unavyoweza kwenye baadhi ya hizi tweets hapa chini.
Ambe Rose amewahi kuwa girlfriend wa Rapa Kanye West ambae sasa ni mume wa Kim Kardashian dada wa Khloe..
hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kifamilia wanadai huenda mtoto Dream akawa chanzo chanzo cha kumaliza kabisa tofauti zaoo au kutengeneza beef ya waziwazi iwapo maamuzi ya kuchagua mama wa ubatizo yataelemea upande mmoja

No comments:

Powered by Blogger.